kumbe mke mtarajiwa na wewe uko ndani ya chama kubwa chama la kutisha Afrika nzima. Sasa kesho unakaa jukwaa gani la Makabwela/Mabwanyenye/Wabangaizaji/Walalaheri/Walalahoi au? Nataka kesho wangalau nikuone nikusabahi mwanaJF mwenzangu tuanoana kupitian key board tu sio fresh sana. Mimi nitakuwa jukwaa la WabangaizajiSimba taifa kubwa, kesho ushindi kwao.Wale washabiki wenzangu tusikose kesho taifa.
kumbe mke mtarajiwa na wewe uko ndani ya chama kubwa chama la kutisha Afrika nzima. Sasa kesho unakaa jukwaa gani la Makabwela/Mabwanyenye/Wabangaizaji/Walalaheri/Walalahoi au? Nataka kesho wangalau nikuone nikusabahi mwanaJF mwenzangu tuanoana kupitian key board tu sio fresh sana. Mimi nitakuwa jukwaa la Wabangaizaji
Echesa,Okwi Huenda Wasicheze kama ni kweli au Janja ya Mnyama
Hapa hakuna ubishi ila ukweli unajulikana wekundu wa msimbazi simba pointi tatu zetu hata Fidel80 anajua ila anajikakamua ili kuwapa matumaini yebo yebo wenzake..hapa kwenye hii mada ngoja niwe msomaji tu nione mashabiki watakavyo bishana
naomba kujua utakuwa uwanjani au utakuwa hapa jamvini..ili baadae nikuone presha ikikupanda na kushuka wakati okwi/mrwanda/mgosi wakifanya mambo..Mechi itaisha Yanga 3 Simba 1 mark my words...
Yanga ilianzishwa mwaka 1935 chini ya wazalendo halisi wapaa samaki na wafua nazi waliokuwa wakijikusanya mida ya jioni na kuanzisha harakati za kudai uhuru.
Hivyo unavyoizungumzia Yanga unatakiwa usimame kabla kwa dk moja kisha uendelee.
Na unapozungumzia uhuru wa taifa basi usisite kuitaja Yanga kwa namna moja ama nyingine.
Ukija kwa upande wa simba...timu hii ilianzishwa na wakoloni wa kiarabu waliokuwa wakishinda kutwa nzima na misuli viunoni huku wakiwatesa babu zetu.
na ndio maana wana tabia zote za kiarabu kwani mpk leo hawana hata uwanja wa mazoezi wanadandiadandia tu kama waarabu wanavyodandia magorofa ya msajili.
Sforza Yanga

Hata CCM ilianzishwa na walalahoi wakulima na wafanyakazi lakn sasa hivi wenye CCM wanajulikana!! Yanga hivyo hivyo..