Simba Vs Yanga kesho tujadili!!!

Status
Not open for further replies.
mimi kwa hapa sina ushabiki maana sitaki pressure bora niyasikie hivyo hivyo kwenye vyombo vya habari. jamani mimi nimshabiki kweli kweli na nina upuinzazi wa ukweli hivyo sitaki kupiga kelele ila nasubiria dakika 90 za mchezo, ila nitafurahi sana kama vijana wa jangwani wakiibuka washindi au mnasemaje mzaee
 
Kuchomoa si kufungwa sheikh...
Yanga jana
Yanga leo
Yanga daima...
Leo simba, Bado saa 4 tu mfunge hayo madomo yenu maana naona tangu jana mnasumbua sana hapa jamvini sijui hiyo nguvu mmepata wapi na leo mechi ni live kupitia TBC1 hivyo tuliko nje ya Dar hatuta danganywa ooh yanga tunaonewa labda TANESCO wafanye kazi yao..
 

Nyie mliopo nje ya dar ndo mnaua soka la bongo.
huu mpambano ni wa watani wa jadi yaani ni kama ule wa dela madonina kule Milan italy.
nyie mlioko nje ya Dar mnatakiwa mshabikie timu zenu kama mji mpwapwa, toto, kariakoo lindi, lipuli nk nk nk...
Hizi simba na yanga tuachieni wenye mji, acheni kukurupuka na kushadadia yasiyowahusu
 
Na leo Yanga mkiniangusha 'naacha mpira'........Manutd timu...ohh sor Yanga timu, funga hao Simba 2-0 waende msimbazi wakapige rangi jengo lao lile....
 
Wewe ni zaidi ya sheikh Yahaya,mi nipo upande wako,na matokeo ni hayohayo!!
 
Kesho rekodi inatibuliwa na watoto wa Jangwani wapo full mzuka
Kwa matokeo ya hii mechi naamini mtakuwa mnasajili makocha wapya kila mechi,yaani mwisho wa papic umewadia,mkipona na quit jamii forums i promise!!
 
Kiama cha Kanda2 kimefika leo ni 3-0 mnataka ndio hivyo, hamtaki ndio hivyo!
 
Kuna clue yoyote ya namna ya kufuatilia mtanange huu moja kwa moja mtandaoni?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…