Simba vs Yanga nani bingwa leo????

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya padri Mushi Zanzibar ametinga mahakamani akiwa ameweka alama ya vidole viwili, whch is a political symbol of a certain political party. Hii ina maana gani? Check hapa chini.
 
anamaanisha atashinda, alama V maana yake victory. dunia nzima inafahamika hivyo.
 
Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya padri Mushi Zanzibar ametinga mahakamani akiwa ameweka alama ya vidole viwili, whch is a political symbol of a certain political party. Hii ina maana gani? Check hapa chini.

Kwa watu wanaoweza kufikiriwa kupata zawadi ya Chupa 12 za Kinana Lager kwa jinsi ulivyocheza kama Pelle. Kichwa cha Uzi kama sport then ndani unaweka uzi uliofungwa pale kwa uzushi wako.

Mods, jamaa kawapiga chenga then kafunga goli!
 
Hakuna uzushi jombb, check hii link hapa chini ndo utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…