Simba VS Yanga sawa na CCM VS CHADEMA

Rostema

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
2,926
Reaction score
9,470
Habari wakuu.

Haya mambo yanayoendelea kati ya simba na yanga wa huku anaenda kule, wakule anaenda huko hasa kipindi hiki cha usajili kabla ya kuanza kwa ligi yetu pendwa ya VPL.

Je, kuna tofauti gani Kati ya manguli wawili wa siasa za nchi hii kati ya CCM na Chadema?
 
Simba inachukua wachezaji, Yanga inachukua watendaji. Tuone kocha atapanga kikosi cha wachezaji au watendaji
Kwahiyo apo ni dhahiri mpira wa Tanzania ni umiza kichwa
 
Tafadhali sana, acha kulinganisha CCM na uchafu uchafu wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…