simba vs yanga

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
9,088
Reaction score
6,384
naona imebaki siku moja kuelekea mtanange wa watani hawa wa jadi.
may the best team win.
 
The answer is clear, the best team is DAR YOUNG AFRICANS!
 
Mimi naona kama Simba ndio wazuri kwa sasa na ndio watakaoshinda bila shaka
 
kusema ukwel simba bingwa yan bila tatzo.
 
Yanga ingekuwa nzuri lakini kinachoiharibu ni pesa chafu zinazowatesa watanzania zitolewazo na wanaojiita wafadhili.
Juzi wamehonga baadhi ya watu kule Kagera ili washinde kihujuma mpaka ngumi zikawaka.

Binafsi naamini kuwa Simba ndiyo Timu nzuri kwa ujumla.
 
Mnyama kwa sasa yupo juu.No doubt about it,Kichapo kwa Yeboyebo ni kama sala leo
 
ubest wa yanga upo wapi? Subirini kichapo cha haja na ubingwa unarudi msimbazi.

Nipo katika kamati ya ufundi utaona mtanange we ikifika saa 10.20 wahi bar ukae karibu na luninga
 
later on yanga watalizwa na mnyama mkali aliyoko town.
 
Nipo katika kamati ya ufundi utaona mtanange we ikifika saa 10.20 wahi bar ukae karibu na luninga
kuna mwezako hajaoneka tangu mfunge goli 6, sasa na wewe usije ukapotea baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…