simba vs yanga

Nasikia mechi itaonyeshwa kwenye Tv channels mbalimbali barani Afrika, je kuna anaezijua hizo channels ? kama unazijua basi naomba utuwekee hapa ...shukran!
 
Baada ya mechi wapenzi wa yanga africa tutaelekea pale makumbusho, kazi moja tu.....KUMPAKATA SIMBA! Tehe tehe tehe!
 
Game limenza simba wamefanya shambulizi moja.
 
Hakuna Link yeyote wadau naweza ona hii mechi through mtandao?
 
Yani mpira wa kibongo bwana! Fitna za mechi ya leo zitakuwa nyiingi... Wakati Simba wana mechi ngumu na Tout Puissant siku chache zijazo. Cha ajabu concentration kwenye mechi yenye hisia ni kubwa kuliko mechi yenye maslahi. Enewei mimi ni CCM hence Yanga Afrika ya Umoja wa Mataifa!
 
Unaona sif kujitambulisha kuwa wewe ni mwana CCM. Hilini jukwaa la sports usituletee siasa hapa. Naona mechi kali simba wanakosa bao kupitia mbwana samata.
 
jamani kwa hiyo hii mechi ndio haipatikani online?
 
Unaona sif kujitambulisha kuwa wewe ni mwana CCM. Hilini jukwaa la sports usituletee siasa hapa. Naona mechi kali simba wanakosa bao kupitia mbwana samata.
 
naam kumekucha historia imeandikwa si dakika nyingi kutoka sasa
 
Leo mnyama lazima alale mapema. Wana kelele sana hawa.
 
Tupeni matokeo acheni story zenu za CCM hapa
 
Tanesko washachakachua!pumbafff CDM jitahidini tuwang'oe hawa wapuuzi.aaaghrrrr¥
 
Pemalllllllllllllllllllllllt yanga wanapata penalt wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…