simba vs yanga

Stephan Mwasika gooooooooooooooooo twendeni SIMBA KAPAKATWA tukale maraha leooooooooooooo hahahahahahaha
 
duh,bora tumerudisha....kichwa kilishaanza kuuma.....go go Simba!!!!
 
Yanga wamefunga goli la kike! Simba wanachomoa goli na kocha phiri anatolewa nje ya uwanja.
 
safi sana linesman... ukiangalia replay inaonyesha kabisa kwamba mpira imevuka, lakini je... haikua offside?
 
Kwa sasa sizipendi kabisa Simba na Yanga kwa vile hazijaleta matunda kitaifa.
Afadhali iibuke timu mpya kama ilivyo AZAM kutuletea sifa kimataifa kama ilivyokuwa zama za UK Liverpool kugaragazwa na Manchester.
Hizi ni timu zee zinakamiana zenyewe kulinda majina kitaifa lakini si kuliletea taifa sifa.
 
wewe shabiki wa yanga
 
wewe shabiki wa yanga

Mpenzi wa micheo, ila nafurahia mafanikio kimataifa badala ya kuwa wasindikizaji tu.
Sipendi kushabikia kiwenda wazima, bali napenda timu yo yote yenye kuleta matunda kwa taifa letu.
Tumechoshwa na usindikizani kwa miaka mingi. Huu utalii utaisha lini?
 
mpira wetu upo kiwango cha barabara zetu!!
 
Yanga maji ya shingo mashambulizi yamewaelemea game ndo linamalizika simba 1 yanga 1.
 
Mna bahati sana nyie Simba....leo mlikuwa mnachezea kichapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…