Soka safi? Kwa uto tunachokiona ni soka la mambavu na mibio isiyo na tija ya tkLeo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda wanasubiri kuona soka safi kutoka kwa wababe wa Ligi kuu vpl Young african.
Benz na ist.Acha u.s.e.n.g.e wako UNAFANANISHA CHAMPION LEAGUE YA AFRICA na huo upuuzi
Kunywa supu na chapati mbili kakaa bili kwanguUsichanganye Habari za ligi ya mabingwa na hiyo ligi yenu ya kienyeji....
Mfalme wa nyika aling'ara kwenye ligi ya wanaume....nyie vyura pambana kwanza na wavulana wenzenu huko mbeya...
amakweli shukrani ya punda mateke. Yani ligi ikiyokupeleka huko unakokuita kwa "wanaume" unainanga kiasi hiki??Usichanganye Habari za ligi ya mabingwa na hiyo ligi yenu ya kienyeji....
Mfalme wa nyika aling'ara kwenye ligi ya wanaume....nyie vyura pambana kwanza na wavulana wenzenu huko mbeya...
maneno yooote haya ni hako kagoli kakupewa sio??π΄[emoji881]View attachment 1701239
π π π π yani mikia bana.. poleni sanaHana wakati Simba ilipopata Penalty kuna shabiki mmoja wa utopolo alibana map**bu yake ili Mugalu akose, sasa akaziminya kwa kasi nusura apasue, aligugumia kwa maumivu na game hakuendelea tena kutazama akasepa!
Sasa huyu utopolo aliyeleta uzi wake hapa atakuwa ni miongoni mwa wabana p**bu wakidhani inaweza kuwa msaada, mtaishia kuzipasua nyie utopolo!
PAKA SASA BAAASI... YANGA DAIMA MBELE!!!Yanga mwaka huu ni mwendo wa vipigo tu! Kenge au PAKA atakaye jitutumua, basi ataambulia sare. Muda wa kucheka na MAPAKA π± umekwisha!
Na tutachukua Ubingwa wa VPL, pasipo kupoteza hata mechi moja!