Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

Mamaeee utooo ni utoooooo


Mnatumia Mgongo wa Mnyama, kuuza Habari zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Acha kulinganisha klabu bingwa na mavi
goli la kupewa ndo unapga kelele hivii???πŸ˜…πŸ˜… ama kweli nyani haoni mkundu wake!!!
 
Acha u.s.e.n.g.e wako UNAFANANISHA CHAMPION LEAGUE YA AFRICA na huo upuuzi
@Wand uko kimya tu wakati kuna shabiki wa mikia hapa karukwa na kauli chafuuuuπŸ˜›πŸ˜œπŸ˜œβ˜„
 
Usichanganye Habari za ligi ya mabingwa na hiyo ligi yenu ya kienyeji....

Mfalme wa nyika aling'ara kwenye ligi ya wanaume....nyie vyura pambana kwanza na wavulana wenzenu huko mbeya...
... Ndugu yangu, ili ushiriki klabu bingwa huna budi kuchukua ubingwa wa ligi unayoita ya "KIENYEJI" au taratibu zimebadilika awamu hii???πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Yanga mwaka huu ni mwendo wa vipigo tu! Kenge au PAKA atakaye jitutumua, basi ataambulia sare. Muda wa kucheka na MAPAKA 🐱 umekwisha!

Na tutachukua Ubingwa wa VPL, pasipo kupoteza hata mechi moja!
.....Baelezeee hao NYAU FC
 
goli la kupewa ndo unapga kelele hivii???πŸ˜…πŸ˜… ama kweli nyani haoni mkundu wake!!!
....Unakumbuka hawa NYAU FC tulivyowapiga kombe la mapinduzi walivyobeza ushindi wa penalty? Sasa kimetokea jana kigoli cha penalty pia..washasahau wallah
 
goli la kupewa ndo unapga kelele hivii???[emoji28][emoji28] ama kweli nyani haoni mkundu wake!!!

Kama goli la kupewa kakateni rufaa CAS huko, mtaumia sana!
Halafu ilikuwaje hao Vita wakashindwa kupata nao goli, kama simba ilipewa!?
Mtakoma mwaka huu na utopolo yenu, halafu nikihakikishie Simba kati ya game sita inazotakiwa kucheza game nne lazima izishinde na imeshaanza kampeni, bado tatu ambazo ni kwa mkapa ambapo pale hatoki mtu!
Kamati ya mapokezi mjiandae kupokea wageni wenu wiki ijayo!
 
... Ndugu yangu, ili ushiriki klabu bingwa huna budi kuchukua ubingwa wa ligi unayoita ya "KIENYEJI" au taratibu zimebadilika awamu hii???πŸ€”πŸ€”πŸ€”
wailimishe hawa mikia ndugu yang
 
mikia bila pernaty inawezekana???
 
... Ndugu yangu, ili ushiriki klabu bingwa huna budi kuchukua ubingwa wa ligi unayoita ya "KIENYEJI" au taratibu zimebadilika awamu hii???[emoji848][emoji848][emoji848]
We ulivyoshiriki msimu uliopita ulikuwa umeshinda ubingwa wa ligi gani?

Utopolo wahed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…