Simba wabadilishe jina tutapoteza Watalii Wengi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa sifa alizonazo mnyama simba mfalme wa nyika ni
wazi sasa hivi timu ya simba kulitumia jina hili kimataifa tunamdhalilisha mnyama huyu yeye kama mnyama jasiri lakini pia tunaua au kudhoofisha moja ya vivutio vya utalii,
Huko nje kama timu inaenda Fanya vibaya watu wa Dunia wanalikariri jina hill halafu eti unawaambia karibuni tanzania mtembelee mbuga zetu tuna Vingi huko ikiwa pamoja na mnyama simba...mtalii anaona aah ndio wale wale..
Ushauri tuna wanyama wengi simba ibadilike iitwe Panya Fc..hii ita sound better

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waitwe viganja fc 👐
 
Ha haa haaaa..............Mbumbumbu FC haoooo..................
 
Mkuu,kwa hiyo ubongo wako unakuambia watalii wa kimarekani,kingereza,kifaransa,kichina wakija kutalii wanaambiana tunaenda angalia Simba?yaani wanatumia neno Simba kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watalii watapungua sababu ya omba omba mijitu mizima tena haina pesa inatembeza bakuli la kuomba pesa ni aibu kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…