Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Walimzingua sana bora achomoke kisomi 🤓
 
Hizi pesa zipo kwenye account gani? huyu mhindi ni samjo sana
 
Wenye uwanja wanafanya marekebisho
 

Attachments

  • 1693542557041.jpg
    41.8 KB · Views: 1
  • 1693542561794.jpg
    63.5 KB · Views: 1
Inabidi mnaolaumu muonyeshe muamala mliofanya. Unamlaumu aliyeahidi 2B wakati upo kwenye keyboard, hata buku huchangii!
Yeye ndio alianzisha mchango tuone zake kwanza
 
Timu za Yanga na simba linapokuja suala la kumiliki viwanja vyao binafsi; maneno mengi, siasa na porojo hutawala kuliko vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…