SIMBA WAGOMEA MECHI BUKOBA

mpiga vichwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
2,376
Reaction score
3,811
Tangu ule msukule useme kwamba Usukuleni hakuna mwenye akili, tatizo lilianzia hapo. Hata wale waliokuwa na unafuu wote wakawa chali.Ili akili ziwarudie labda huo mwiko ung'olewew huko nyuma.
 
Wachezaji wamegoma, wanadai mishahara na posho
 
Wachezaji wamegoma, wanadai mishahara na posho
wewe ni mjinga na mpumbavu ,kwahiyo kocha wa Yanga naye kusema ana wagonjwa ina maana wachezaji wamegomea mechi? Mbona mnakuwa wapuuzi hivi
 
Zaidi ya wachezaji 13 wameripotiwa kuumwa, acheni uzushi wa kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…