Simba wahaha kufukia kichwa cha mbuz taifa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Watalam wa uloz kutoka asha fc usiku wa leo wamehaha kufukia kichwa cha mbuz bila mafanikio

Walinz wanaolinda uwanaja wa taifa wamedai wamekuwa wakisumbuliwa sana na kamati ya uloz kutoka matopen fc ili wapate kufukia kichwa cha mbuz lakin wamewazuia

Simba logen sana

Lakin lazima mle kichapo cha kutosha jumamos

Yanga nguvu moja


LONDON BABY
 
Baadhi maada znamvuta mtu kwa kuamini kwamba lazima picha itakuwepo tu...
 
Lofa. Uwanja wa taifa mechi gani. Mechi uwanja wa uhuru
 
Mtoa mada jina lako la kwanza linataka kafanana na official name yangu dah
 
Yaani simba kwa ushirikina tuu hawajambo, ila jmosi kipigo cha mbwa mwizi kipo pale pale j
 
Huyu mleta mada ni punga achachen nae
Huyu hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…