Simba waingia uwanjani na Bus lao, Hatutarajii kisikia kelele kuhusu basi

Simba waingia uwanjani na Bus lao, Hatutarajii kisikia kelele kuhusu basi

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
[emoji116]View attachment 2498450View attachment 2498451View attachment 2498452View attachment 2498453
Screenshot_20230128-173841_Twitter.jpg
 
Timu kubwa kama SSC ikose bus la wachezaji?

Ndio maana nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanashadadia hii issue, kwasababu ni kitu kidogo sana kwa mnyama..
Limekodiwa kwa ajili kampeni tu. Subiri uchaguzi umalizike kama utaliona tena Hilo.
 
Ingekua Wana Simba wanajitambua kitendo Cha kuleta basi kubwa la wachezaji na Manzoki kuletwa uwanjani ni matusi makubwa na tarehe 29 Mangungu ange angukia pua. Ni kampeni za kizamani sana.
Yaani Uongozi wamehisi wanachama wa Simba hawana uwezo wa kupambanua mambo Kwa kina.
 
Kwasababu uchaguzi umekaribia kila kitu kitakuwa sawa watu wanatafuta kura
CEO mpya ni siasa za uchaguzi
Kocha mpya ni siasa za uchaguzi
Kwenye huu uchaguzi kuna team ndio ilileta mchezaji wakasema walimtoa Newcastle hata kuonekana kwa manzoki ni siasa za uchaguzi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ingekua Wana Simba wanajitambua kitendo Cha kuleta basi kubwa la wachezaji na Manzoki kuletwa uwanjani ni matusi makubwa na tarehe 29 Mangungu ange angukia pua. Ni kampeni za kizamani sana.
Yaani Uongozi wamehisi wanachama wa Simba hawana uwezo wa kupambanua mambo Kwa kina.
Mbona hersi alipita bila kupingwa wakati wa kampeni alimleta biringanya na nyie mnajitambua ? Uto shida sana
 
Kazi nzuri ya Mangungu hii imepelekea bus limerudi.
In Mangungu we Trust [emoji123][emoji881][emoji123]
 
Timu kubwa kama SSC ikose bus la wachezaji?

Ndio maana nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanashadadia hii issue, kwasababu ni kitu kidogo sana kwa mnyama..
Uchaguzi Ni Leo hivyo bus ilikuwa Ni lazima hata Kama kwa kuazima Niko paleee
 
Back
Top Bottom