Simba wajifunze mbinu za kuifunga al ahly tripoli kwa biashara united

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Biashara united alimkanda muarabu goli 2 saaafi kabisa lakini kubwa jinga makolo wameshindwa kabisa kufua dafu Kwa muarabu

Je Nini kifanyike .....
Muungwana huchutama ....makolo waweke pembeni ukubwa wao feki ...then walitafute benchi la ufundi la al ahly tripoli ....then waombe kufundishwa jinsi ya kuifunga...,..au kupata shoot on target

IMG-20240916-WA0000.jpg
 
Wewe nawe ni wale wale utoporo msokuwa na akili. Sasa usajili wa hiyo timu wakati wanacheza na Biashara ndo huo huo wa sasa? Msimu huu wana usajili wa bilioni 10 na simba wana wa 7 bilioni. Kweli utoporo hamna akili
 
View attachment 3097252
Wamuone kocha na wachezaji vinala wa ule mchezo japokuwa wachezaji wa upande wa waarabu wengi wanaweza wakawa wageni pia
 
Wewe nawe ni wale wale utoporo msokuwa na akili. Sasa usajili wa hiyo timu wakati wanacheza na Biashara ndo huo huo wa sasa? Msimu huu wana usajili wa bilioni 10 na simba wana wa 7 bilioni. Kweli utoporo hamna akili
Calm down Mr kolo [emoji23]

Sasa unadhani thamani ya biashara united..... ilikuwa sawa na al ahly tripoli

Al ahly tripoli alikandwa ingawa thamani yake ilikuwa 5billion tsh

Lkn biashara united..... approximately thamani yao ilikuwa 400million
 
Hao mbumbumbu
Wataambuka
Ngoja ligi na mashindano mengine yaanze
 
Back
Top Bottom