Wamuone kocha na wachezaji vinala wa ule mchezo japokuwa wachezaji wa upande wa waarabu wengi wanaweza wakawa wageni piaBiashara united alimkanda muarabu goli 2 saaafi kabisa lakini kubwa jinga makolo wameshindwa kabisa kufua dafu Kwa muarabu
Je Nini kifanyike .....
Muungwana huchutama ....makolo waweke pembeni ukubwa wao feki ...then walitafute benchi la ufundi la al ahly tripoli ....then waombe kufundishwa jinsi ya kuifunga...,..au kupata shoot on target
View attachment 3097252
Calm down Mr kolo [emoji23]Wewe nawe ni wale wale utoporo msokuwa na akili. Sasa usajili wa hiyo timu wakati wanacheza na Biashara ndo huo huo wa sasa? Msimu huu wana usajili wa bilioni 10 na simba wana wa 7 bilioni. Kweli utoporo hamna akili