Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kikao chenyewe hiki hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyura wanajifanya wako busy na waarabuYanga mlipeleka timu b mapinduzi mkatolewa,simba leo nusu fainali wameingia kwa timu b.
Leteni visingizio vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Matuta si ndio...? [emoji23][emoji23]Yanga mlipeleka timu b mapinduzi mkatolewa,simba leo nusu fainali wameingia kwa timu b.
Leteni visingizio vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mlipeleka timu b mapinduzi mkatolewa,simba leo nusu fainali wameingia kwa timu b.
Leteni visingizio vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Zana,Mlipili,Kwasi to mention few ni Simba B? Yaani nyie hata professionals mnawapeleka mapinduzi?Yanga mlipeleka timu b mapinduzi mkatolewa,simba leo nusu fainali wameingia kwa timu b.
Leteni visingizio vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Mikia shida sanaMbona Hukupeleka timu b tangu hapo awali.
Ilihitajika kupigwa jeki na kikoso cha kwanza ili ufike Nusu fainali kwenye Mapinduzi Cup.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikao chenyewe hiki hapaView attachment 992081
Hamna kitu,kina kamusoko washakimbia na uchaguzi unakuja na viongozi wapya,naona anguko kubwa la watani wa jadi
nimeona aibu wale watoto wa Simba wanafanya sub wakabadirishana shin guard...Timu tajiri kabisa....Mo kama aliona kesho kuna mtu anafukuzwa kazi...Yanga mlipeleka timu b mapinduzi mkatolewa,simba leo nusu fainali wameingia kwa timu b.
Leteni visingizio vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga Pius buswita ni B ,by the way timu b inaorodhesha wale wote hawapewi kipaombele kwenye timu A,simba walioachwa Zenji ndo timu b sijui unalazimisha nini,kama kuna mchezaji timu A basi kuanzia Jana angeshakuwa Dar.Zana,Mlipili,Kwasi to mention few ni Simba B? Yaani nyie hata professionals mnawapeleka mapinduzi?
nimeona aibu wale watoto wa Simba wanafanya sub wakabadirishana shin guard...Timu tajiri kabisa....Mo kama aliona kesho kuna mtu anafukuzwa kazi...