Simba wakifungwa kesho utasikia wale Marefa ni mashabiki wa Al-Masry

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Kesho kiwake tu mamake watu wauane.

Ila Match ya kesho kwa lolote likitokea Simba lazima wamulaumu Refa na watasema ni shabikiwa al masry
 
Simba wakifungwa kesho utasikia wale Marefa ni mashabiki wa Al-Masry
Kama haujajua bado, basi kwa taarifa tu ni kwamba hadi sasa Yanga ndio wanaolalamikia marefa hawa kutoka nje

"Nikiri kuwa hatujashirikishwa kwenye maamuzi yaliyofanyika ila kwa kuwa kanuni zinatuelekeza vilabu tukiwa na shida yoyote na waamuzi ni kuwasilisha kwa maandishi TFF basi uongozi wa Yanga utawasilisha hayo maoni, mapendekezo kama kuna malalamiko kwa maandishi TFF."- Ali Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC.

"Taarifa hiyo na sisi tumeiona tu kwenye mitandao ya kijami na Uongozi utakaa chini kulishughulikia hili jambo."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…