Kivp mkuuKazi huna
Huna kaziii
Kiufupi kazi kwako imeisha...
#MAJINI ON ONE TWO#
Wakuban kisa Simba kafungwa? Si uchizi huo?
Kabisa mkuuKama ile Simba original ilikula tatu, hii tia maji tia maji tegemea lolota baya
Huna umuhimu kwa mashabiki wa Simba. Hatutokukosa.Daaah ya milele hapana mkuu....mtakosa madini humu ndani
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mechi ishachezwa ulimwengu wa rohoangalia maneno yako
Sawa mkuuSema nini Mkuu uzi wa namna hii ..achana nazo tu ..wapambane wenyewe
Madini ya jf sports yanapatikana hapaBan yako itatusaidia nini Sisi.Unajikuta ni Muhimu sana Humu ndani.
Yanga sio watu wakuanzisha nyuzi kama hizo Mkuu
Daah ya mwaka kubwa mzeeBan ya wiki kawaida sana me wanipige ya mwaka
Ndio mkuu coz inabidi niwajike Kwa kukosea utabiriWakuban kisa Simba kafungwa? Si uchizi huo?
Ndio nzuri
Labda ushindi wa kulogana[emoji23]Simba Sports Club
Nguvu Moja, Ushindi Upo
Ulizia members humuHuna umuhimu kwa mashabiki wa Simba. Hatutokukosa.
Subiri muda utaongeaUjinga na upuuzi mtupu [emoji706][emoji706]
Timu ya kina Mzee saidosioni nafasi ya wale watoto watapigwa ingawa kwa tabu sana