Simba wakija kushtuka Yanga watakua mbali sana

Mbali ya Simba ni kumaliza msimu bila kikombe chochote na Tafsiri ya umwamba katika soka ni makombe tu.
Mbali ya Simba ni kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa licha ya kutokuchukua kombe lolote msimu uliopita na mbali ya utopolo ni kuangukia kombe la losers licha ya kuchukua makombe yote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Iyo inaitwa kazi bure, Sio robo ya Wordcup ata wangefika fainali bila Kombe ni kazi bure. Duniani hakuna kombe la robo,nusu au fainali.
Kweli mazwazwa mpo wengi, eti kufika fainali world cup ni kazi bure??? Ningemkamata huyu aliyewaruhusu hata wapumbavu kumiliki smart phone ningemnyonga mchana kweupe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbali ya Simba ni kumaliza msimu bila kikombe chochote na Tafsiri ya umwamba katika soka ni makombe tu.
Misimu 4 ilopita mlichukua nyie?? Hebu ficheni akili zenu 2...mbali na kuchukua makombe yote misimu ile kimataifa tulikua wapi?? Au mnajisahau na kombe lenu hilo na bado kimataifa mkapigwa nje ndani
 
Yaani mleta uzi umeameandika pumba tupu.... Unavyoiona hiyo Yanga imetulia siyo?...
 
tukupe taarifa Morroco aliyefika nusu final world cup ndio taifa la kwanza Kwa ubora Africa na Senegal aliyefika robo na analo kombe la Africa anasubiri unaonaje?
Kwanza huyo hajui km Yanga kimataifa ni sawa na Singida Big star s, anajizima dataa tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…