Simba wakubali ombi la Imani Kajula kuachia ngazi ndani ya Simba SC

Simba wakubali ombi la Imani Kajula kuachia ngazi ndani ya Simba SC

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
CEO atimiza ndoto iliyokuwa ikimnyima usingizi. Baada ya kufanikiwa kupiga naye picha, sasa CEO yuko huru kuachia ngazi.

FB_IMG_1721106321079.jpg

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imekubali maombi ya Ofisa Mtendaji Mkuu wao Imani Kajula ya kuachia ngazi ndani ya Simba SC kuanzia Agosti 31- 2024 huku klabu hiyo ikianza mchakato wa kutafuta Mtendaji Mkuu ndani ya wababe hao wa Msimbazi.

Kajula aliingia Simba mnamo Januari 2023 na kusaini kandarasi ya miezi 6 uliokuwa na kipengele cha kuongeza muda huku alirithi mikoba ya Barbara Gonzalez aliyeondoka ndani ya Simba SC kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom