kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Inaonekana kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya CAF ya aina Moja yenye ukubwa na hadhi Moja CAF. Tambo na furaha ya Simba ni kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya aina Moja .Tuwakumnushe Simba kuwa wao wanashiriki kashindano ka CAF kanakoitwa shirikisho (CAF confederation), kashindano ka hovyo kanakohusisha timu hafifu kwenye ligi zao. Yanga inashiriki club bingwe (CAF champions), timu ngumu na mabingwa kwenye ligi zao.
Hivyo mashabiki na wadau wa mpira wakiwemo wanahabari na wachambuzi muujulishe umma kuhusu tofauti hizi za mashindano. Hakuna comparison kati ya shinda na kushindwa CAF confederation na CAF championship; ni kofo na usingizi. Yanga ilicheza final za CAF confederation juzijuzi TU lakini hakuna timu ya Tanzania iliyowajlhi kugusa hata nusu final za CAF championship; ni magumu sana.