Simba walicheza Abo Hamad sio Al Akdood

Simba walicheza Abo Hamad sio Al Akdood

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Jamani embu haya mambo yakae sawa, watu wa graphics wa simba nafikiri ni vilaza flani hivi slow learners sana

team imecheza na Abo hamad ya misri iliyopo daraja la pili siyo al akdood ya saud arabia ila ushindi ni uleulewa wa 6-0

naomba kuwakilisha
 
Abo Hamad Ni jina la mtu siyo timu na hakuna timu ya hivyo egypt
Si lazima uandike kama huna uhakika na kitu.
IMG-20220724-WA0002.jpg
 
sasa kiwango hiki wakioneshe mechi na wananchi Lupaso maana CCM Kirumba walipasuka!
 
Mm mwenyew jana nilianza kushangaa maana page ya simba imeandka al akhood na ahmed ally nae kaandka abo hamad
 
Sa unabishana na wenye timu yao!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani embu haya mambo yakae sawa, watu wa graphics wa simba nafikiri ni vilaza flani hivi slow learners sana

team imecheza na Abo hamad ya misri iliyopo daraja la pili siyo al akdoodya saud arabia ila ushindi ni uleulewa wa 6-0

naomba kuwakilisha
Umeacha kuifuatilia Utopololo ikiwa Mlogolo unasahihisha vitu vidogovidogo?Fuatilia Yanga wanacheza na wauza mitumba wa Mlogolo!
 
Umeacha kuifuatilia Utopololo ikiwa Mlogolo unasahihisha vitu vidogovidogo?Fuatilia Yanga wanacheza na wauza mitumba wa Mlogolo!
matokeo ya yanga jana wamepigwa 12-1 na week ijayo watacheza watafungwa 4-0 , haya hapa matokeo ya week ijayo
mkwambe.jpg
 
Jamani embu haya mambo yakae sawa, watu wa graphics wa simba nafikiri ni vilaza flani hivi slow learners sana

team imecheza na Abo hamad ya misri iliyopo daraja la pili siyo al akdoodya saud arabia ila ushindi ni uleulewa wa 6-0

naomba kuwakilisha
Eti mkuu hivi ile ya simba kufungwa 12-0 ni kweli? manake utopolo wananitaiti kweli.
 
Back
Top Bottom