Timu ya African Sports (wana kimanu manu) ilikuwa moto wa kuotea mbali miaka Ya 80 na Matokeo yake walimfunga Simba mpaka ikamkamlazimu waziri wa michezo marehemu Proffesor Machunda mnazi WA kutupa wa Simba kuiamuru FAT isiwashushe nao FAT wakasalimu amri hiyo tata! Hii ni jambo ambalo Haji Manara anajifanya hakumbuki au hajui. Lakini mambo mengine yote yanayo ihusu Simba kabla ya tukio hilo na baada ya tukio hilo anayakumbuka vizuri Sana !