Simba walivyookolewa na Serikali kushuka daraja na waziri wa michezo Profesa Machunda

kastro

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
1,011
Reaction score
629
Timu ya African Sports (wana kimanu manu) ilikuwa moto wa kuotea mbali miaka Ya 80 na Matokeo yake walimfunga Simba mpaka ikamkamlazimu waziri wa michezo marehemu Proffesor Machunda mnazi WA kutupa wa Simba kuiamuru FAT isiwashushe nao FAT wakasalimu amri hiyo tata! Hii ni jambo ambalo Haji Manara anajifanya hakumbuki au hajui. Lakini mambo mengine yote yanayo ihusu Simba kabla ya tukio hilo na baada ya tukio hilo anayakumbuka vizuri Sana !
 
We Yanga
 
Huu uharo nao umetoka wapi?Simba alifungwa na African Sports mwaka gani?
Tarehe ipi?Goli ngapi?
Jamaa anarudi lini?Au wewe hujashiriki kupiga magoti?
 
Unadhihirisha ujinga wako ndio mwaka African Sports alishushwa daraja kama thread inavyosema?
Au umerukia mengine. Mtafukua sana historia.
Mbona umesahau kuna kijitimu kilifungwa goli 6 mtungi na katika magoli hayo matatu ni hattrick:?
Hivi ilikuwa mwaka gani?
Miaka 6 iliyopita kuna katimu kalifungwa 5 mtungi.
Au kumbukumbu zinakwama?
Ulikuwa shabiki wa Mbabane wamefungwa 8-1 sasa umehamia Nkana.
Bwana wenu Township Rollers amegongwa raundi ya awali msimu huu na Bantu ya Lesotho.
Alijilaumu kwanini hakupewa kibonde kama msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…