Simba wamekataa kutumia uwanja wa chamazi kwa ajili ya mashindano yoyote yale, wako tayari wakacheze uwanja wa nanjirinji kilwa lakini sio uwanja wa Chamazi, kwa sasa uwanja wa chamazi ni mali ya yanga, yoyote anayetaka kuharibikiwa basi akaombe kutumia uwanja wa chamazi, sio salama tena, ni uwanja ambao wazee wa vyura wameshauchafua.
Simba hongereni sana kwa kuligundua hilo, tuendelee kutumia uwanja wa uhuru mwanzo mwisho.
Hao wenye uwanja wao Leo wameondolewa kwenye mashindano wamewakabidhi ndugu zao wa jangwani.