Upo sahihi mkuu..na nasema tena .simba wakitaka simbayao ikue. Matola na mgunda wasipewe nafasi..na ikiwezekana wawekewe sheria ya kutokuajiliwa kama makocha wala benchi la ufundi.
Simba itakua.
Hawa watu wawili ndio wanafanya simba inadumaa kwenye bench la ufundi, ukiachilia kwenye uongozi wa juu. Hata walete kocha mkubwa kiasi gani hata dumu hapo.