Simba wamechangamka sana, Yanga baridiii, nyinyi mnamatatizo gani? by Jakaya Mrisho Kikwete

stable

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
304
Reaction score
439
Jakaya Kaamua kufunguka haswaaa! Cheki clip hapo chini. Nimefikiri sana namna mzee wetu alivyofikisha ujumbe kwa Sisi wana yanga.
Safar ya mpira tz bado ndefu.
 

Attachments

  • VID-20190806-WA0022.mp4
    2 MB
leteni na ile video ya ankali alivyonena kuhusu simba ile siku ya kukabidhi Simba Kombe.
 
leteni na ile video ya ankali alivyonena kuhusu simba ile siku ya kukabidhi Simba Kombe.
Naheshimu sana kauli za hawa viongozi sababu huleta hamasa kwa shabiki na viongozi wa timu zetu.
 
Kama yanga baridi siku moja ya mechi ya yanga vaa jezi au shati jekundu halafu kakae jukwaa la yanga, uje utusimulie hapa kama hujavuliwa hadi pichu, au uwe unatembelea jukwaa la yanga uone mishemishe zao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…