Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.!
Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo hii wamejifanya marafiki wa mzize ..!
Sote tunajua mzize amepata ofa kutoka wydad zaidi ya 3 na nyingine kutoka Al ahly Tripoli ambazo ni mabilioni ya pesa .
Wydad wamefika kwenye billion moja na ushee lakini waajiri wake yanga wamekataa ofa hizo kwani mzize ni mkubwa kuliko ofa hizo at least billion 3 ingefaa wangesikilizwa!
Sasa hawa simba hasa humu wamekuwa wakijifanya wanamtakia mema mzize ghafla amekuwa eti rafiki yao .
"Dogo mpira mfupi sana nenda uarabuni kapige pesa"aliskika jamaa mmoja humu mwanasimba mwenye komwe kama goti...
"Yanga wana tabia ya kung'ang'ania wachezaji" aliskika mzee mwengine humu shabiki wa Simba.
"Dogo angekuwa simba tungeshamuuza hatunaga mambo hayo" mwengine akasikika.
OK sawa.
Ninachoweza kukisema ni kuwa mashabiki wa Simba either ni akili ndogo sana ni nature ya team yao kuwa na vilaza kwa miaka mingi sana, hata mitaani mashabiki wengi wa team hiyo hawajasoma na kuelimika, yaani shule haipo kichwank kabisa wao ni uongo, umbeya,unafki, na wizi, vibaka wengi ni simba nyie mashahidi. Hii inapelekea kushindwa kuona hoja hizi kuhusu mzize wanayetaka yanga wamuuze.
1:WANATAKA AUZWE ILI VIPIGO VIPUNGUE KWAO..
SIMBA wanataka Mzize auzwe ili balaa Lake liondoke mjini hapa maana huwa anawashenyeta sana na kuwanyanyasa mnoo, nq ukicheki kasi yake aliyonayo sasa wanaogopa namna watakavyoaibika siku watakapokutana na yanga.
2: MZIZE AUZWE ILI KUIPUNGUZA NGUVU YANGA,
Maana wao kuuza wachezaji hawataki Kabisa ila kwa wachezaji wa wengine ndiyo wauzwe?
Case study:Aishi Salum Manula.
Kijana amekuwa kwenye bifu na uongozi wake kiasi kwamba imekuwa nongwa na wanamtesa sana
Hawataki kumuuza na kumpa namba pia hawampi!
Ameomba kuuzwa kwenda azam lakini bado wanakataa na wana makipa 5!
Je hawajui manula naye anataka kupiga pesa na kulinda kipaji chake pia?
Ni matatizo makubwa ya akili waliyonayo.
Kipa mkubwa kama manula kuwekwa nje bila sababu ya msingi ni ujinga wa viongozi wao hivyo hoja ya mzize kuuzwa haina mashiko.
Yanga watamuuza Mzize wakimaliza mission yao msimu huu na sio vinginevyo.
Pia Wydad siku za karibuni wamekuwa waharibifu wa vipaji vya watu weusi sana
Case study: Simon Msuva, Arsenal Zola Kiaku na wengineo.
Simba acheni utoto.