Simba wamegeuka kuwa marafiki wa Mzize. Hakika wamemkubali

Ni vizuri,maana sisi wenyewe hata wachezaji wa Al Hilal tunakaziwa na hatuwezi kuwanunua
Kama unadhani huwa wanauza tu nenda Al ahly wakuuzie mchezaji unayemtaka kama watakupa
 
Mchezaji hajazuiwa, wao wameshapewa vipengele na mahitaji hitajika cha kushangaza wanaanza kutumia watu ku presha ili wapate kitonga
Wanamtumia lile tapeli la Ghana ndio lifanye kweli lile jamaa tulishalikataa
 
Angalia Luis Miquison, Simba walipiga hela,sasa hivi hata Kengold wanamtaka,unaweza kumzuia mchezaji na hata we mwenyewe usimfaidi maana hata morali yake inaweza kushuka ukimzuia sana
Kwanini mnakataa kumuuza manula aende azam? Kama unadhani rahisi hivyo?
 
Basi mnamvimbisha bichwa baasa ya miaka 2 amezeekaa hana maajabu..anabaki kusubiria kuingia mechi bure kama mwenzie Ngasa
Leo hii ndiyo mnajifanya mnampenda sana?

Uzeni na nyie kina chasambi mnasubiri nini?
 
Kwanini mnakataa kumuuza manula aende azam? Kama unadhani rahisi hivyo?
Mkuu kama mchezaji anapata maslahi mazuri na anafuraha na timu hamna shida,hivi kwa mfano nye kwa Fei toto mlifanyaje,anataka kuondoka ila nye mmegoma,hivi akibaki atacheza kwa kiwango na mwenye furaha?
 
Hakuna mchezaji wa simba mwenye hadhi ya kucheza yanga kwa hao akina debora masatu
Mazuzu nyie ni jalala/gereji la Simba..takataka kibao zimejaa huko..screpa zote ziko hujo gereji..
 
Reactions: Tui
Manara "Yanga wenye akili ni wawili tu, Mh. Kikwete na baba yangu Sunday manara"... Naona tuendelee kuuishi huu msemo.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…