Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako.
Coastal wakisema wapo imara wapo imara kweli kweli kwa kuwa viongozi makini!
 
Kama unazungumzia kumtangaza kabla hawajamlipia, basi upo upande wa Simba maana hata Coastal Union wenyewe wanakiri kuwa amelipiwa kabla hajatangazwa
Simba wababaishaji kitambo!
 
Uko sahihi. Timu ina mwanasheria halafu anasema mkataba tulitakiwa kulipa May 31 Ila tukalipa June 10 lakini tuko sahihi maana barua walituandikia June 17.
Wanaendesha timu kama bado wapo zama za kale za mawe una uhakika umefunga mikataba alafu watu wasiogope waikiuke wasiheshimu waeleze vizuri mashabiki wao!
 
Hao ni Mjomba na Mpwa Wake....hawajawahi Kushindwana....Lawi ni 'Mnyama Kamili' , vingine ni mbwembwe tu.!
 
Kelele zitapigwa sana lakini mwisho wa siku atacheza Simba
 
Which is which!! Huyo Lawi amesajiliwa simba, au hajasajiliwa?
 
Wababaishaji ni wale waliogaragazwa na morison CAS na sasa wamefungiwa na FIFA kusajili hadi waache utapeli

Wababaishaji ni wale waliogaragazwa na morison CAS na sasa wamefungiwa na FIFA kusajili hadi waache utapeli
Morrison alisaidiwa na Tifutifu kwa mahaba ya mtoto pendwa Kolo, laiti wangeamua kua neutral asingetoboa, lakini kua neutral kwa kesi ile maana yake ni kijivua nguo huko CAS.
 
Back
Top Bottom