kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kama unazungumzia kumtangaza kabla hawajamlipia, basi upo upande wa Simba maana hata Coastal Union wenyewe wanakiri kuwa amelipiwa kabla hajatangazwaSimba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,t
Simba wababaishaji kitambo!Kama unazungumzia kumtangaza kabla hawajamlipia, basi upo upande wa Simba maana hata Coastal Union wenyewe wanakiri kuwa amelipiwa kabla hajatangazwa
Hao ni kurwa na dotto wate wababaishaji tu!Wababaishaji ni wale waliofungiwa na fifa
Uko sahihi. Timu ina mwanasheria halafu anasema mkataba tulitakiwa kulipa May 31 Ila tukalipa June 10 lakini tuko sahihi maana barua walituandikia June 17.Hao ni kurwa na dotto wate wababaishaji tu!
Wanaendesha timu kama bado wapo zama za kale za mawe una uhakika umefunga mikataba alafu watu wasiogope waikiuke wasiheshimu waeleze vizuri mashabiki wao!Uko sahihi. Timu ina mwanasheria halafu anasema mkataba tulitakiwa kulipa May 31 Ila tukalipa June 10 lakini tuko sahihi maana barua walituandikia June 17.
Na waliofungiwa na FIFA unawazungumziaje?Simba wababaishaji kitambo!
Kapu moja tu!Na waliofungiwa na FIFA unawazungumziaje?
Ahahahahaha!!!Kapu moja tu!
Wababaishaji ni wale waliogaragazwa na morison CAS na sasa wamefungiwa na FIFA kusajili hadi waache utapeliSimba wababaishaji kitambo!
Timu ya ujanja ujanja tu ndio maana inasajili wachezaji waanguka dege dege na kung'ata ulimi wengine wana mahirizi!Wababaishaji ni wale waliogaragazwa na morison CAS na sasa wamefungiwa na FIFA kusajili hadi waache utapeli
Mh! We kweli ni kipara kipyaTimu ya ujanja ujanja tu ndio maana inasajili wachezaji waanguka dege dege na kung'ata ulimi wengine wana mahirizi!
Huijui simba!Mh! We kweli ni kipara kipya
Vingine ni mbwembwe tu!Hao ni Mjomba na Mpwa Wake....hawajawahi Kushindwana....Lawi ni 'Mnyama Kamili' , vingine ni mbwembwe tu.!
Wababaishaji ni wale waliogaragazwa na morison CAS na sasa wamefungiwa na FIFA kusajili hadi waache utapeli
Morrison alisaidiwa na Tifutifu kwa mahaba ya mtoto pendwa Kolo, laiti wangeamua kua neutral asingetoboa, lakini kua neutral kwa kesi ile maana yake ni kijivua nguo huko CAS.Wababaishaji ni wale waliogaragazwa na morison CAS na sasa wamefungiwa na FIFA kusajili hadi waache utapeli