nzega ndogo
Member
- Nov 18, 2016
- 79
- 78
Hakuna ushindi wa mezani aliopewa yanga na malinzi. Yanga wamepata point zao zote uwanjani na wanapofungwa hawakati rufaa wala maandamano wanajipanga kwa mchezo mwingine.Malinzi mbona aliibeba yanga
Ukichaa umekuzudia umeona uje huku unyolewe nywele update unafuu.Simba acheni kuzubaa , ni wakati wa usajili ...ulimbukeni hilo kombe mlo bebwa utawagalimu, inatosha mlivyoshangilia nikiteni kwenye usajili sasa, huyo boko alishazeeka tafuteni damu changa alaaaah!
Yanga watawamalizeni shauri yenu.
Mie nimemaliza
Nawasilisha
Umeona leo kwenye gazeti la Champion eti Makofia anafuatilia point zao FIFA.Kwanza majibu vipi ya Fifa au ndo dangaya toto? Mikubwa mizima inakubali kudanganywa.
Umeona leo kwenye gazeti la Champion eti Makofia anafuatilia point zao FIFA.
FIFA wana taratibu zao hawafanyi kazi kwa shinikizo la mtu yeyote. Hili suala ni tofauti sana na lile alilofuatilia kuhusu madai yao ya hela za Okwi.
Anadai suala lipo wazi mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi tatu. Amesahau kwa kigezo hicho hicho wasingefika fainali ya FA maana walimchezesha mwenye kadi nyekundu dhidi ya Polisi.
Hizi ni mbinu zao muda uende tu mbumbumbu wasahau
Hakuna ushindi wa mezani aliopewa yanga na malinzi. Yanga wamepata point zao zote uwanjani na wanapofungwa hawakati rufaa wala maandamano wanajipanga kwa mchezo mwingine.
Labda tuwaachie mbumbumbumbu wenyewe maana haiwahusu Yanga wala Kagera.Mbona inawauma sana nyie kuliko sisi Mbumbumbu?