Simba wameonyesha Watanzania tukidhamiria na kuwekeza tunaweza

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli.

Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba wamefanya Kwa Sababu Wana dhamira.....Wanasiasa wenye dhamira kama Wana Simba siwaoni.
 
Penalty ni kama kamari so siwalaumu Simba game waliyocheza dakika 97 na kwa hatua waliyofikia. Waraabu wenyewe hawakuamini kilichokuwa kinaendelea muda wote wa dakika 90.
Congratulations Simba
 
Timu mbovu Sasa serikali iachane na upuuzi wa simba na Yanga there's a lot Things to be discussed.
 
Walitakiwa washinde ndani ya Dk 90

USSR
Hakika, hofu ya ukubwa wa team waliokuwa wakicheza nayo na hali ya ugeni iliwafanya Simba wacheze kwa tahadhari. Lakini juu ya yote ni maendeleo mazuri kwa Simba, naimani next time watafanya vizuri zaidi
 
Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli.

Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba wamefanya Kwa Sababu Wana dhamira.....Wanasiasa wenye dhamira kama Wana Simba siwaoni.
Kulikuwa na watanzania wangapi humo.

Kipimo cha Mpira wa Tanzanial siyo yanga na Simba Bali ni National games

Leo Hii yanga wamewalaza rivers United ya Nigeria, wapeleke Taifa stars wacheze na timu ya taifa ya Nigeria kama watatoka Hata na short on target moja
 
Timu mbovu Sasa serikali iachane na upuuzi wa simba na Yanga there's a lot Things to be discussed.
Kama yapi? Mpaka unaitaja serikali, kwani imefanya nini hasa kufikia hatua hizi za Simba na Yanga katika swala la kuifanya serikali isiangalie mambo mengine zaidi ya Simba na Yanga?
Bado una akili ndogo sana....
 
Hizi timu za siasa zipo kuwafanya watu wajinga na mazuzu 24/7 watu wanajidili Upumbavu wa Simba na Yanga .
 
Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli.

Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba wamefanya Kwa Sababu Wana dhamira.....Wanasiasa wenye dhamira kama Wana Simba siwaoni.

Unaweza ku? Maana wameshindwa
 
Back
Top Bottom