Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Walitakiwa washinde ndani ya Dk 90Penalty ni kama kamari so siwalaumu Simba game waliyocheza dakika 97 na kwa hatua waliyofikia. Waraabu wenyewe hawakuamini kilichokuwa kinaendelea muda wote wa dakika 90.
Congratulations Simba
Hakika, hofu ya ukubwa wa team waliokuwa wakicheza nayo na hali ya ugeni iliwafanya Simba wacheze kwa tahadhari. Lakini juu ya yote ni maendeleo mazuri kwa Simba, naimani next time watafanya vizuri zaidiWalitakiwa washinde ndani ya Dk 90
USSR
Kulikuwa na watanzania wangapi humo.Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli.
Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba wamefanya Kwa Sababu Wana dhamira.....Wanasiasa wenye dhamira kama Wana Simba siwaoni.
Kama yapi? Mpaka unaitaja serikali, kwani imefanya nini hasa kufikia hatua hizi za Simba na Yanga katika swala la kuifanya serikali isiangalie mambo mengine zaidi ya Simba na Yanga?Timu mbovu Sasa serikali iachane na upuuzi wa simba na Yanga there's a lot Things to be discussed.
Hizi timu za siasa zipo kuwafanya watu wajinga na mazuzu 24/7 watu wanajidili Upumbavu wa Simba na Yanga .Kama yapi? Mpaka unaitaja serikali, kwani imefanya nini hasa kufikia hatua hizi za Simba na Yanga katika swala la kuifanya serikali isiangalie mambo mengine zaidi ya Simba na Yanga?
Bado una akili ndogo sana....
Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli.
Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba wamefanya Kwa Sababu Wana dhamira.....Wanasiasa wenye dhamira kama Wana Simba siwaoni.
Aliwezeshaje kuinua michezo kama si kusema nchi fulani nayo itufunge ni aibu.Kama JPM aliposema ,Tanzania tunaweza