busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Wakati Yanga wamepigwa faini kwa kukaidi agizo la CAF kuingiza mashabiki uwanjani mechi yao ya CAFCL,kwa Simba sports club hali ni tofauti.
Simba wameruhusiwa kuingiza mashabiki mechi ya marudiano na Jwaneng Galax ya Botswana itakayochezwa kwa Mkapa.
Na endapo Simba itafuzu kuingia makundi faini waliyopigwa Utopolo itaongezwa kiasi kingine cha fedha ili kupewa Simba sports club kwa kufuzu kuingia hatua ya makundi.
Simba one team one dream.
Simba nguvu moja.