Mwanzoni mlisema hata makundi hatufiki.. saivi imekuwa Tena Robo hatufikiMbn kila siku yanga fkn robo bsc msimu huu naona hadi moja wa vigogo wa kwenye akaunti ya kigogo 2014 anawasapoti sw bn ilaangalia ucje juta ukatulaumu
Yanga ni wapuuuzi sanaaaMwanzoni mlisema hata makundi hatufiki.. saivi imekuwa Tena Robo hatufiki
Unateseka Ukiwa wapi redio mbao.Nimeamini kweli umbumbumbu ni moja ya vipaji.
Acha ujingaSahizi wamelala ngoja kesho asubuhi uone yatakavyo kuja na povu la Omo.
Wanafanya fujo wageni wakitolewa wanapeleka majungu kwa wageni Simba inapuliza dawaYanga ni wapuuuzi sanaaa