Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann simba wasishinde wao hizo gori huko..Kwa ushindi kiduchu waliopata leo ni wazi simba wamejikatia tiketi ya kufurushwa kwenye mashindano ya Caf champions league wale wydad sio watu wazuri kule morocco wakikosea kabisa ni 3 bila au 3 kwa 1
Subiri keshoKwa ushindi kiduchu waliopata leo ni wazi simba wamejikatia tiketi ya kufurushwa kwenye mashindano ya Caf champions league wale wydad sio watu wazuri kule morocco wakikosea kabisa ni 3 bila au 3 kwa 1