Simba wameshushiwa posho ndio maana wachezaji hawajitumi

Simba wameshushiwa posho ndio maana wachezaji hawajitumi

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Za ndani kabisa kuna jamaa alikuwa anachati na mchezaj mmoja.
Wanasema posho ya wachezaji imeshushwa ndio maana wachezaj hawajitumi kabisa.

Viongozi wa Simba kama kuna ukweli mnatuangusha sana. Yanga tutaweza kweli kama hali ndio hii.

Ndio maana me nimeshangaa sana Simba kweli ya kushindwa kumnasa manzoki, adebayor n.k

Hanspope tutamkumbuka sana. Simba ya kukosa kocha wa aina ya kishingo gomes n.k kocha wa viungo kweli!!!
 
Huko ndo kutojitambua, wao waridhike na mishahara yao.
Bonus zitolewe kwa kuchukua makombe tu
 
Mwanzo zilikuwa bei Gani na Sasa kiasi Gani?
 
Kwa timu mliyonayo ata mzidishe posho ni kujisumbua, kiwango mnachokiona Cha wiki ya 20 baada ya pre seson hakuna kitakacho ongezeka.
 
Waambiwe game gumu mtaan demu akija geto ijumaa haondok kama haumfukuzi
 
Sisi kama FoS tumahamua kuchangia sehemu ya posho walizopunguziwa.
 
Back
Top Bottom