Za ndani kabisa kuna jamaa alikuwa anachati na mchezaj mmoja.
Wanasema posho ya wachezaji imeshushwa ndio maana wachezaj hawajitumi kabisa.
Viongozi wa Simba kama kuna ukweli mnatuangusha sana. Yanga tutaweza kweli kama hali ndio hii.
Ndio maana me nimeshangaa sana Simba kweli ya kushindwa kumnasa manzoki, adebayor n.k
Hanspope tutamkumbuka sana. Simba ya kukosa kocha wa aina ya kishingo gomes n.k kocha wa viungo kweli!!!