Simba wameteuliwa Super League ili kuibeba Al Ahly

bahati mbaya, simba watafungwa Ijumaa. natamani washinde lakini maji lazima yafuate mkondo. nawapa pole kabla.
 
 
Pimbi mkubwa
 
Hoja yako ni ya uongo kwa sababu kuna timu dhaifu kama Enyimba zimo humo ambazo zisingefurukuta pia kwa Al ahly.

Sema nini, nimependa tu kwamba, Yanga na Waarabu ni paka na panya. Unajua sababu ni nini! Yanga anajua kuwakaba na kuziba njia za Waarabu!
 
Kilichonishangaza wamesema ni kombe jipya wameteua Timu nane harafu katika hizo Timu nane zipo ndogo ndio zimeokota wakubwa kwa maana hiyo sio Al Ahly tuu anaebebwa wanazibeba baadhi ya Timu za Kaskazini maana wamewapa upande A na B wakimiliki wao ingawaje kwenye Mpira lolote linaweza kutokea wao wanaamini Petro ya Luanda itamtoa Mamelodi harafu Petro ikafungwa na Al Ahly kumbe Petro nae anaweza kufa kwa Mamelodi na wakakutana Mamelodi vs Al Ahly hiyo nusu Fainal...
 
Hakika
 
Hatari sana
 
Sawa mama. Pole kwa maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…