Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Natamani some days itokee timu nyingine pale nafasi ya 1 na ya 2 isiwepo SSC wala Yanga, tukifika hiyo hatua ni wazi kuwa ligi yetu itakuwa ni bora.
Timu kama Li SSC , sajili za mchongo, scouting za youtube, viongozi ni wazee ambao ni zero brain , halaf out of that timu iende CAFCL, ingekuwa ni udhalilishaji wa ligi. All the best Azam !
Ukilala kama wengine, utaamka kama wengi, simple like that ! Hakuna UCHAWI na KALUMANZILA kwenye mpira
endeleeni kukimhizana na Chama! Mkiamka it will be too late
Leo hii hata Aziz Key , akitaka kuondoka, we will let him go na Yanga itaendelea kuchukua makombe…..it is all about serious business ,, sio mambo ya mafanikio ya kibegi.
All the best Yanga for the consistency, naamini this time Yanga inacheza fainal CAFCL hata kwa bunduki, imedhamiria for life and death!
Bado kibegi ni sehemu ya mafanikio? [emoji1787]
Tuone kama Shirikisho mtavuka robo fainal , yanga alikwenda final