Simba wamlipe Mbwiga wa Mbwiguke kwa kutumia maneno ubaya ubwela

Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini.

Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno.

Kama humjui mzee mbwiga pita kimyakimya.
Amelisajili hilo neno?! Hilo ni neno la kizaramo, halina uhusiano wowote na umilikishwaji wake kwa Mbwiga.
 
Akijitikisa tu yeye ndo atailipa simba fidia maana hajasajili hayo maneno
 
Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini.

Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno.

Kama humjui mzee mbwiga pita kimyakimya.
Mbwiga awalipe wazaramu kwa kutumia Methali zao bila idhini ya wazaramu wote duniani..
 
Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini.

Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno.

Kama humjui mzee mbwiga pita kimyakimya.
Kama ana hati miliki ya huo msemo aende mahakamani na atalipwa vzr tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…