sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Siku chache nyuma klabu ya simba ilitangaza kumsajili mshambuliaji wa ferroviario ya msumbiji Antonio domingos ,lakini kutokana na masuala ya uhamisho kutokamilika wameamua kumuacha na kumbakisha laudit mavugo,aliyetaka kutolewa kwa mkopo kwenda uarabuni,source mwanaspoti.