Simba Wamuache Benchika achague Msaidizi/Wasaidizi wake

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Wakuu habari,

Nasema hivi Kocha Benchika ni Mzuri,Hilo halina Ubishi,Ila wakiwchwa hawa kina Matola ndio wawe makicha wasaidizi hakuna kitu kizuri atafanya Benchika nawaambia,

Uwezo wa Kina Matola hawa wanywa pombe hawana Exposure, wana Uwezo mzuri wa Mpira wa Bongo tuu,Wa nje inahitajika Akili ya Ziada ambayo kwa Tanzania labda Meck mexime,Bakari shime ka da na Minziro ndio walikuwa nayo!

Ila huyu Mzawa wa Simba Sana sana Akiwa Pale Itakuwa ni Majungu tuu kwa Wachezaji na Kocha Mpya,Huku akitaka Wachezaji wake sio kwa uwezo bali kwa Urafiki ndio wapangwe!

Nakumbuka Nabi alipotakiwa na Kaizer chief aliomba aende na Benchi lake la Ufundi! Kuwa na Kocha wazawa sio mbaya lakini sio hawa /huyu!

Hivi kweli simba tangu enzi ya Kina George Masatu,Akaja yule captain kutoka Dodoma, Kina Hoza,George lucas,nk nk

Hakuna Mzawa ambae anaweza kuwa Msaidizi kweli???? Mpaka kila Mara unarudi kwa yule yule matola??? Au kuna Dili viongozi wanakula nae???

Benchika aachwe aamue mwenyewe Hawa waliopo watamfelisha!/inawezekana isiwe makusudi ila kwa Uwezo wao wa hapa hapa Bongo! Haiwezekani Simba Kukosa Mzawa Tangu 1993-2023.

Either kuna Roho mbaya watu hawapewi Fursa!

Mpira ni Discipline!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…