Simba wamuomba radhi Magufuli kwa kuvunja viti

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Klabu ya Simba imemuomba radhi rais Magufuli kutokana na vurugu zilizosababishwa na mashabiki wao na kuvunja viti uwanja wa taifa siku ya mechi yao na Yanga
 
Naona simba inafanya mambo kiulayaulaya.
 
That's how Gents behave..ukifanya kosa unaomba msamaha..big up!!
 
Ila mi nashangaa kitu kimoja tu

Mtu anaweza kuwa anahojiwa kwenye media, from no where anaanza kumtaja magufuli halafu jambo analohojiwa haliusian kabisa na magufuli

Huwa naishia kuzima au kuhamisha tu steshen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…