Simba wana jambo lao kesho. Wanadai jambo la Watani zao limebuma

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610


Wanaandika

Unapopata taarifa kwamba habari yao kubwa ilikuwa sio ya kweli na kesho wakubwa wa nchi tutakuwa na jambo kubwa πŸ˜ƒ

Nadhani tunaelewana tukisema jambo kubwa 🧐 #NguvuMoja

Je, litakuwa jambo gani?
 
mbumbumbu fc kolowizard united akili hamna
Mlishaambiwa na Luc Eymael kwamba Mashabiki wa Yanga ni Manyani mnabwekabweka tu . Manara yeye akasema kule Yanga wenye akili ni wawili tu yaani Sunday Manara na Kikwete .Mliobaki ni hamnazo. Sijui kwani hamtaki kuamini hizo kauli za hao watu wawili?
 
Itakuwa maajabu unamtangaza kumsajili mchezaji ambaye hayupo kwenye timu ya Taifa!
 
View attachment 2259846

Wanaandika

Unapopata taarifa kwamba habari yao kubwa ilikuwa sio ya kweli na kesho wakubwa wa nchi tutakuwa na jambo kubwa [emoji2]

Nadhani tunaelewana tukisema jambo kubwa [emoji3166] #NguvuMoja

Je, litakuwa jambo gani?
SIMBA for real.. SIMBA forever[emoji173]. Hata damu yenye kuleta uhai ni nyekundu.. Hakuna damu ya njano bali kuna ugonjwa wa manjano
 
Mbumbumbu ni rahisi sana kuwaongoza.....Yaani ukiwa na akili kidogo tu,hutapata shida kuwaongoza
Ni kweli kuongoza mbumbumbu ni rahisi sana, kama picha tu zinatosha kuwaaminisha usajili, unafikri tusemeje sasaπŸ˜‚.
 
Chama langu Simba iache kushabuana na utopolo, tupo juu zaidi yao, tufanye mambo yetu pasipo kuhusisha wao.
Mko juu ya nini nyinyi simba wa mjini! Muda wote tukijisikia, wananchi tunajichinjia tu na kuwapelekea moto.
 
Ni kweli kuongoza mbumbumbu ni rahisi sana, kama picha tu zinatosha kuwaaminisha usajili, unafikri tusemeje sasaπŸ˜‚.
Nyie ndo mnapenda kwenda na hizo propaganda

Ile Yanga mchezaji yeyote akayesajiliwa lazima atakiwasha tu msimu ujao Wa klabu bingwa

Sisi hatuna tetesi kwenye usajili wetu......tutasajili mchezaji kutoka mataifa yafuatayo
-Ligi kuu ya Ivory coast
-Ligi kuu ya Angola
-Afrika mashariki na kati
-Ligi kuu ya South Afrika

Kikosi chetu kinahitaji quality ndogo sana ili kukamilisha full quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…