Simba wanakuja na maswali yao na kujijibu wenyewe

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes pasipo na shaka hii Simba na watu wake kwa sasa wanaifahamu sana Yanga kuliko Yanga yenyewe inavyojifahamu.

Simba wapenzi wanakuja na maswali yao mazuri tu na kuanza kuyajibu tena wao wenyewe.

Pitso Mosimane anakuja Yanga then baada ya muda mfupi Pitso kasaini Uarabuni.

Ibenge anakuja Yanga baada ya muda watakuja na majibu Yanga hawana pesa ya kumlipa ibenge so ameamua kubaki Al hilal.

Kaizer Chiefs wanamtaka Mayele then Mayele sio aina ya washambuliaji wanaotakiwa na Kaizer Chiefs, Mayele ni Mchoyo wa Pasi Mayele haina mbio mengi mengi tu.

Yanga inaenda kufa baadaye Yanga kabeba ubingwa kwa kutembeza bahasha za Khaki.

Hakika maswali na majibu ni mengi hapa mjini.
 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe, Mara nyingi mtu anapofilisika uanza kumuona kila mtu ni mbaya kwake, na mashabiki wa simba wamebaki kuwa kama wadangaji wanaparamia kila tukio linaloanguka masikioni mwao na kulipamba ilimradi tu liwe negative kwa yanga!
 
Mbona kama unajijibu mwenyewe kipropaganda??

Utopolo mpambane na hali zenu..

Na mikataba yenu hiyoo ya michongo itawaumbua sana mwaka huu..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 

Hahaha hawa jamaa wameamua kuwa upande wa mateso hakika na wanateseka mnoo kuanzia msimu umeanza ni mateso msimu umefika mwisho ni mateso, usajili ni mateso bado hata ngao ya jamii watateseka tena.
 
Mbona kama unajijibu mwenyewe kipropaganda??

Utopolo mpambane na hali zenu..

Na mikataba yenu hiyoo ya michongo itawaumbua sana mwaka huu..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Hahahaa nlijua tu lazima mje ila sio mbaya mmechagua kuwa upande wa mateso endeleeni kuteseka.

Ukitaka kujua kama ni mkataba wa mchongo muulize Feisal ana majibu mzee.
 
Hahahaa nlijua tu lazima mje ila sio mbaya mmechagua kuwa upande wa mateso endeleeni kuteseka.

Ukitaka kujua kama ni mkataba wa mchongo muulize Feisal ana majibu mzee.
Nani ateseke nanutopolo?

Hamjui mpira..mnapenda propaganda tuu...nyie mnachojua ni mambo mawili tuu..

Sherehe na migogoro.

Na ndio vinavyowakosti..kila siku na hamjifunzi..kaaah

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Hawa mashabiki wanatakiwa kumshinikiza yule mwenyekiti wao mstaafu kufuta ile kauli yake ya kuwaita mbumbumbu wakati bado akiwa hai.

Wasipofanya hivyo, halafu ikatokea akaondoka! Basi hilo jina watadumu nalo kwa miaka mingi sana. Yaani kama ilivyo tu kwa Taifa Stars na jina la kichwa cha mwenda wazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…