Simba wanapata upendeleo kuliko Yanga

Simba wanapata upendeleo kuliko Yanga

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa

1)Faulo ya Inonga dhidi ya Sureboy haikupaswa kuwa kadi nyekundu?

2)Faulo ya Tchikalo dhidi ya Morisson haikupaswa kuwa penati?

3)Goli la Sakho imesemekana siyo offside,sawa..
Lakini unajiuliza..Je..lile lile goli kwa style ile ile angekuwa amefunga Fiston Mayele lingekubaliwa na mwamuzi Ellysasii?

4) Mechi ya mwisho ya msimu ya Yanga, Fiston alifunga goli halali dakika za mwisho ambalo limetaka kufanana na hili la juzi la Sakho ikasemekana ni offside.!

5) Hawa Simba kuna goli walifunga wakati refa akiongea na beki baada ya kuanzisha mpira kabla hata ya ruhusa cha ajabu likakubaliwa!

Kwa kuanza msimu huu mpya tunaomba fair play tunaomba usawa, wananchi tunaonewa sana, mara nyingi tunanyimwa penati za wazi na magoli,

Hebu msimu huu mpya haki itendeke tupate pira burudani na tufaidi pesa nyingi tuliotumia kwa kusajiri.
 
Mechi ishaisha mauzi ya hivi bado mnaendelea nayo tu na hamna wachangiaji kudadadeki 🙁
 
We nae utopolo tu. Matukio ni mengi pia ya utopolo kubebwa. Dhidi ya Namungo penati fake, dhidi ya Simba msimu wa juzi mlipewa penati Kwa faulo nje ya 18 , dhidi ya Gwambina kuna goli halali la Gwambina lilikataliwa. Matukio ni mengi ...
 
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa

1)Faulo ya Inonga dhidi ya Sureboy haikupaswa kuwa kadi nyekundu?

2)Faulo ya Tchikalo dhidi ya Morisson haikupaswa kuwa penati?

3)Goli la Sakho imesemekana siyo offside,sawa..
Lakini unajiuliza..Je..lile lile goli kwa style ile ile angekuwa amefunga Fiston Mayele lingekubaliwa na mwamuzi Ellysasii?

4) Mechi ya mwisho ya msimu ya Yanga, Fiston alifunga goli halali dakika za mwisho ambalo limetaka kufanana na hili la juzi la Sakho ikasemekana ni offside.!

5) Hawa Simba kuna goli walifunga wakati refa akiongea na beki baada ya kuanzisha mpira kabla hata ya ruhusa cha ajabu likakubaliwa!

Kwa kuanza msimu huu mpya tunaomba fair play tunaomba usawa, wananchi tunaonewa sana, mara nyingi tunanyimwa penati za wazi na magoli,

Hebu msimu huu mpya haki itendeke tupate pira burudani na tufaidi pesa nyingi tuliotumia kwa kusajiri.
Kwa kifupi tu kazi ya beki ni kucheza mpira na siyo kupewa maelekezo na refa..... Kuongea na refa ni kupoteza muda.
Na pia ndio Simba wanabebwa.... Nendeni mkashitaki FIFA muone kama hawajabebwa hata huko.
 
Umeona eeh nyie ipo siku tutawapiga 7

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Maudhi ya simba kupendelewa ni makubwa bro,inakera sana
Kila leo magoli yenu ni ya utata tu
Hata msipochangia lakini message sent

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hata tusipochangia hahaha ila Yanga mnaongoza kwa kutokua na furaha si juzi mmechukua ngao ila bado chokochoko haziwaishi yani badooooo mnafurukutwa na Simba
 
Sakho tumemleta aje awafundishe kufunga magoli bora tu goal kama lile yanga hawatakaa wafunge kwa mpira ule wa bubaa na kuvizia offside ili baadae walalamike.
 
Hiyo ni Timu ya Rais wa TfuaTfua,,, wacha ipendelewe Ila lazima waisome namba kipindi chote hiki wakati Mjomba Mwigulu ameshikilia Wizara ya Fedha😁
 
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa

1)Faulo ya Inonga dhidi ya Sureboy haikupaswa kuwa kadi nyekundu?

2)Faulo ya Tchikalo dhidi ya Morisson haikupaswa kuwa penati?

3)Goli la Sakho imesemekana siyo offside,sawa..
Lakini unajiuliza..Je..lile lile goli kwa style ile ile angekuwa amefunga Fiston Mayele lingekubaliwa na mwamuzi Ellysasii?

4) Mechi ya mwisho ya msimu ya Yanga, Fiston alifunga goli halali dakika za mwisho ambalo limetaka kufanana na hili la juzi la Sakho ikasemekana ni offside.!

5) Hawa Simba kuna goli walifunga wakati refa akiongea na beki baada ya kuanzisha mpira kabla hata ya ruhusa cha ajabu likakubaliwa!

Kwa kuanza msimu huu mpya tunaomba fair play tunaomba usawa, wananchi tunaonewa sana, mara nyingi tunanyimwa penati za wazi na magoli,

Hebu msimu huu mpya haki itendeke tupate pira burudani na tufaidi pesa nyingi tuliotumia kwa kusajiri.
Ukweli kuna elements hizo kwenye soka letu. Niseme tu kwamba mtoto anaedekezwa sana na wazazi huharibikiwa si kiakili tu hata kisaikolojia tofauti na anayeonekana kunyanyaswa kwa kuonewa na kupewa kazi ngumu. Kuonewa kwa Yanga kunaiimarisha zaidi na kucheza kwa weledi, nia na malengo, tena soka lililo clear kabs na kwa kujiamini na kuwanyima wenye kupendelea wapinzani sababu ya kufanya hivyo, wakifanya waonekane wazi.
 
Mnajisunbua bute, sisi tumewekeza kwa Marefa na wasaidizi wao ndio maana tulibeba ubingwa mara 4 mfululizo, Msomali abajua!
Utopolo mnashinda lakini mnateseka
Kifupi hamjiamini kabisa
 
Naomba kuuliza hivi, kwa nini mechi nyingi sana za hii ligi lazima Yanga ndio atangulie kucheza mechi kabla ya Simba?
 
Mimi sipendezwi mno na jinsi Simba ilivyobebwa msimu ulioisha timu nyingi zilizocheza na Simba wachezaji wake walipewa Red Cards za uonevu , Simba walipewa penati nyingi za upendeleo, Kanoute na Onyango walifanya rafu nyingi na mbaya mno na hawakuadhibiwa, Simba ilipewa magoli mengi ya offside wazi wazi hii ni aibu sana kwa mpira wetu ambao nchi nyingi zinaona LIVE kupitia Azam. Ndo maana Marefa kutoka Tanzania na mabeji yenu ya Fifa ila hampewi mechi za Afcon au za dunia kuchezesha nchi nyingi na hata CAF wanaona madudu yenu kupitia Azam TV.

Kiufupi Simba walikamiwa sana na kila timu waliyocheza nayo na wakati mwingine walizidiwa kiufundi hata ikawa dakika 90 zikiisha Marefa wanaongeza dakika 10 bila aibu na kutokana na performance mbovu ya Simba ikabidi mkakati wa Marefa kuwabeba Simba utumike ili waonekane bora.

TFF mmejaa Makolo hamna sifa wala weledi wa kuongoza mpira wetu mnatia aibu sana siwapendi kabisa na ubovu wa Marefa wenu wanaoibeba Simba umeleta timu mbovu ya Taifa tunafungwaje nyumbani na Algeria hii haikubaliki muondoke
 
Sasa subiria kesho uone watu watakavyo zawadiwa magoli ya offside,watu watabebwa kwa kila namna eti alimradi tu simba aibuke kidedea,yaonyesha pia waamuzi walio wengi nchi hii ni mashabiki wakubwa wa simba
Tupo hapa mtaniambia

Back
Top Bottom