ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa
1)Faulo ya Inonga dhidi ya Sureboy haikupaswa kuwa kadi nyekundu?
2)Faulo ya Tchikalo dhidi ya Morisson haikupaswa kuwa penati?
3)Goli la Sakho imesemekana siyo offside,sawa..
Lakini unajiuliza..Je..lile lile goli kwa style ile ile angekuwa amefunga Fiston Mayele lingekubaliwa na mwamuzi Ellysasii?
4) Mechi ya mwisho ya msimu ya Yanga, Fiston alifunga goli halali dakika za mwisho ambalo limetaka kufanana na hili la juzi la Sakho ikasemekana ni offside.!
5) Hawa Simba kuna goli walifunga wakati refa akiongea na beki baada ya kuanzisha mpira kabla hata ya ruhusa cha ajabu likakubaliwa!
Kwa kuanza msimu huu mpya tunaomba fair play tunaomba usawa, wananchi tunaonewa sana, mara nyingi tunanyimwa penati za wazi na magoli,
Hebu msimu huu mpya haki itendeke tupate pira burudani na tufaidi pesa nyingi tuliotumia kwa kusajiri.